Taarifa Kwa Umma -Toleo 77 August 2017

Sheria ya Mafuta Na. 21 ya mwaka 2015 inaipa uwezo Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kusimamia shughuli za mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli (Mid and Downstream Petroleum Activities). Kifungu cha 131 (1) cha sheria hiyo kinawataka wote wanaojihusisha na sekta tajwa wawe na leseni iliyotolewa na EWURA.

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa kwa umma inatolewa ya kwamba, wafuatao wameomba leseni/vibali ili kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli.

Public Notice – BATCH 77 AUGUST 17

___________________________________________________________________________