TAARIFA KWA UMMA-MAOMBI YA LESENI YA VITUO VYA MAFUTA

Kwa mujibu wa kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, kuhusu maombi ya leseni ya kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli.Hivyo basi, mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni,  kwamba asipewe leseni, anatakiwa kuwasilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku ishirini na moja (21) kuanzia tarehe ya tangazo hili . Soma zaidi TAARIFA KWA UMMA- MAOMBI YA LESENI YA VITUO VYA MAFUTA

____________________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *