TAARIFA KWA UMMA-Maombi ya Leseni ya kuzalisha umeme kutoka kwa kampuni ya Dangote Cement Ltd

TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea maombi ya leseni ya kuzalisha umeme kutoka kwa kampuni ya Dangote Cement Ltd. Hivyo basi, EWURA inakaribisha maoni na/au pingamizi kuhusiana maombi hayo ya leseni.Soma zaidi:-Maombi ya leseni ya kuzalisha umeme kutoka kwa kampuni ya Dangote Cement Ltd

________________________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *