TAARIFA KWA UMMA : Maombi ya Leseni ya Vituo vya Mafuta

Kwa mujibu wa kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura Namba 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa
inatolewa kwa umma kwamba, wafuatao wameomba leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya
mafuta ya petroli. Hivyo basi Mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni hapo juu kwamba asipewe leseni, anatakiwa kuwakilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku ishirini na moja (21) kuanzia tarehe ya tangazo hili:- Soma zaidi Maombi ya Leseni ya Vituo vya Mafuta

__________________________________________________________________________________________

Visits: 90

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *