Ongezeko la muda wa Usajili kwa Wananchi wenye uwezo wa kuuza bidhaa na kutoa huduma kwenye Kanzidata ili washiriki kwenye shughuli za Petroli kwa Mwaka 2018

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inasajili wauzaji wa bidhaa na watoa huduma mbalimbali kwenye kanzidata ya Watanzanaia wenye uwezo katika sekta ndogo ya petroli, mkondo wa kati na wa chini, nchini Tanzania.Dirisha la usajili lilifunguliwa tarehe 29 Januari 2018 kwenye tovuti ya EWURA.Baada ya kutafakari kwa mapana maombi hayo na lengo la kuwa na kanzidata, EWURA imekubali kuongeza muda kutoka tarehe 28 Februari, 2018 hadi tarehe 31 Machi, 2018. Soma zaidi:Nyongeza ya Muda wa Kuwasilisha Maombi ya Usajili kwenye Kanzidata ya LSSP

______________________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *