TAARIFA KWA UMMA-Kuwasilisha pingamizi kwa waombaji wa leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura Namba 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, wafuatao wameomba leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli.Hivyo basi, Mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni kwamba asipewe leseni, anatakiwa kuwakilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku ishirini na moja (21) kuanzia tarehe ya tangazo hili .Soma zaidi:TAARIFA KWA UMMA-Kuwasilisha pingamizi kwa waombaji wa leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli

_______________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *