TANGAZO-Majina ya Waombaji Wapya wa Leseni za Umeme Waliopitishwa na Bodi Kupewa Leseni

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza majina ya waombaji wa leseni za Umeme ambao wamepewa madaraja mbalimbali na Bodi ya Wakurugenzi ya EWURA katika kikao chake cha tarehe 18/06/2018. Waombaji walio orodheshwa katika tangazo hili wanatakiwa kufika ofisi za EWURA kulipia ada za leseni na kuchukua leseni zao.

Soma Zaidi:Majina ya Wombaji Wapya wa Leseni za Umeme waliopitishwa na Bodi ya EWURA kupewa Leseni 

____________________________________________________________________________

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *