TAARIFA KWA UMMA-Maombi ya Leseni ya Uzalishaji Umeme kutoka Kampuni ya Kilombero Plantations Limited

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA)inakaribisha maoni au pingamizi kuhusu maombi ya Leseni ya Uzalishaji umeme kutoka Kilombero Plantations Limited. Maoni/pingamizi yawasilishwe kwa maandishi kwa Mkurugenzi Mkuu kabla ya saa 10 jioni, siku  ya tarehe 16 Mwezi Agosti 2018. Maombi ya leseni yanaweza kuonyeshwa kwa mtu kwa maombi maalum ya maandishi.

Soma Zaidi:  Maombi ya Leseni ya Uzalishaji umeme kutoka kwa Kampuni ya Kilombero Plantations Limited-KISWAHILI

Read More: An Application for an Electricity Generation Licence from Kilombero Plantations Limited-ENGLISH

___________________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *