Majina ya waombaji Wapya wa Leseni za Umeme waliopitishwa na Bodi ya EWURA kupewa Leseni

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza majina ya waombaji wapya wa leseni za Umeme ambao wamethibitishwa na Bodi ya Wakurugenzi ya EWURA  katika kikao chake cha tarehe 27/07/2018 kupewa leseni.  Wombaji walioorodheshwa katika tangazo hili, wanapaswa kufika Ofisi za EWURA kulipa ada za leseni na kuchukua leseni zao.

Soma Zaidi:Majina-ya-Waombaji-Wapya-wa-Leseni-za-Umeme-Waliopitishwa-na-Bodi-Kupewa-Leseni
_______________________________________________________________________________________