TANGAZO KWA UMMA-Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji kutoka Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira ya Mji wa Wanging’ombe (“Wanging’ombe WSSA”) Kwa Mwaka 2018/19 – 2020/21

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Ijumaa, tarehe 17 Agosti, 2018, katika Ukumbi wa Kichina, Wanging’ombe Mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.

Soma Zaidi:TANGAZO KWA UMMA-Mwito wa Maoni ya Wadau WANGNG’OMBE-WSSA -KISWAHILI

Read More:PUBLIC NOTICE-WANGING’OMBE-WSSA- ENGLISH

___________________________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *