TANGAZO KWA UMMA-Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Majisafi na Usafi wa Mazingira Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Arusha (ARUSHA WSSA) Kwa Mwaka 2018/19 – 2020/21

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 20 Septemba 2018 katika Ukumbi wa Makumbusho – Azimio la Arusha uliopo jiji la Arusha kuanzia saa 4:00 asubuhi. Lengo la mkutano huo ni  kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali na Baraza la Ushauri la watumia  Huduma  zinazodhibitiwa na EWURA, wateja wa  Arusha WSSA na wananchi wote kwa ujumla kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa. Soma Zaidi:

___________________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *