TANGAZO KWA UMMA-Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Majisafi na Majitaka Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Mjini Musoma (“MUSOMA WSSA”) Kwa Mwaka 2018/19 – 2020/21

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Jumanne, tarehe 18 Septemba, 2018, katika Ukumbi wa Manispaa uliopo Musoma mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi ili kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la Watumia Huduma zinazodhibitiwa na EWURA na wananchi wote kwa ujumla, kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa. Soma Zaidi:

___________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *