TANGAZO : Majina ya Waombaji wa Leseni za Umeme Waliopitishwa na Bodi Kupewa Leseni Tarehe 30/10/2018.

EWURA inatangaza majina ya waombaji wa leseni za umeme, ambao wamepewa madaraja mbalimbali na Bodi ya Wakurugenzi ya EWURA katika kikao chake cha tarehe 30/10/2018. Kwa tangazo hili, waombaji hawa wanatakiwa kufika ofisi za EWURA kulipia ada za leseni na kuchukua leseni zao.

Soma zaidi :- Orodha ya Wakandarasi wa Umeme Waliopitishwa Kupewa Leseni

___________________________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *