TAARIFA KWA UMMA : Bei Kikomo za Mafuta Aina ya Petroli Kuanzia Jumatano Tarehe 7 Novemba 2018.

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 7 Novemba 2018.

Soma zaidi :- Bei Kikomo za Mafuta Kuanzia Tarehe 07 Novemba 2018

___________________________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *