TANGAZO KWA UMMA : Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Majisafi na Usafi wa Mazingira Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Maingira Bunda

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Jumanne, tarehe 27 Novemba 2018 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda uliopo Bunda Mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi. Lengo la mkutano huo ni kwa ajili ya kupata maoni ya wadau na wananchi wote kwa ujumla kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.

Soma Zaidi :- Mwito wa Maoni ya Wadau – Bunda WSSA

__________________________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *