TAARIFA KWA UMMA : Maombi ya Leseni ya Uzalishaji Umeme Kutoka Kampuni ya ALAF Limited

Taarifa inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea maombi ya leseni ya kuzalisha umeme kutoka kwa Kampuni ya ALAF Limited iliyotajwa hapo chini. EWURA inakaribisha maoni na/au pingamizi kuhusiana na maombi haya.

Soma zaidi ;-  Maombi ya Leseni ya Uzalishaji Umeme – ALAF Limited

__________________________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *