TAARIFA KWA UMMA : Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Turiani

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 6 Desemba 2018 katika Kituo cha Jamii kilichopo mjini Tuariani kuanzia saa 4:00 asubuhi. Lengo la mkutano huo ni kupata maoni ya wadau, wateja na wananchi wote kwa ujumla kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.

Soma zaidi ;- Mwito wa Maoni ya Wadau – Turiani WSSA

__________________________________________________________________________________________

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *