TAARIFA KWA UMMA : Maombi ya Kubadilisha Umiliki wa Jina la Kituo cha Mafuta – Mji Mpya Gapco Filling Station.

Taarifa inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea maombi ya kubadili umiliki wa leseni na jina la kituo cha mafuta kama kutoka kwa Mji Mpya Gapco Filling Station. Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya mabadiliko ya umiliki na jina la leseni tajwa hapo juu, afanye hivyo kwa maandishi na kuwasilisha EWURA.

Soma zaidi:- Seeking Approval on Transfer of a Licence of a Petroleum Retail Outlet – Mji Mpya Gapco Filling Station

___________________________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *