TAARIFA KWA UMMA : Mwito wa Maoni ya Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Majisafi na Majitaka Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira – Kigoma WSSA

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 29 Novemba, 2018, katika Ukumbi wa  NSSF uliopo Kigoma mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi ili kupata maoni ya wadau na wananchi wote kwa ujumla, kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.

Soma Zaidi :- Mwito wa Maoni ya Wadau – kigoma WSSA

______________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *