TAARIFA KWA UMMA : Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Makonde.

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 22 Novemba 2018 katika Ukumbi wa Halimashauri ya Wilaya ya Newala kuanzia saa 10:00 asubuhi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau na wananchi wote kwa ujumla kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.

Soma zaidi ;-Mwito wa Maoni ya Wadau – Makonde WSSA

______________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *