TAARIFA KWA UMMA : Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Urambo.

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Jumatano, tarehe 05 Desemba, 2018, katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo, Urambo Mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau na wananchi wote kwa ujumla, kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.

Soma Zaidi ;- Mwito wa Maoni ya Wadau – Urambo WSSA

______________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *