TAARIFA KWA UMMA : Maombi ya Leseni ya Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli.

Taarifa inatolewa kwa umma kwamba, wafuatao wameomba leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli. Mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni kwamba asipewe leseni, anatakiwa kuwasilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili kupitia anwani tajwa.

Soma Zaidi ;- Maombi ya Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

______________________________________________________________________________

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *