TANGAZO KWA UMMA : Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei ya Maji Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Kondoa

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Jumatano, tarehe 30 Januari 2019 katika Ukumbi wa CCM Wilaya ya Kondoa uliopo Kondoa Mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi. Lengo la mkutano huo ni kupata maoni ya wadau na wananchi wote kwa ujumla kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.

Soma zaidi :- Mwito wa Maini ya Wadau – Kondoa WSSA

A Call For Stakeholders’ Views – Kondoa

__________________________________________________________________________________________

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *