TANGAZO KWA UMMA : Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei ya Maji Kutoka Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira HTM

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Alhamisi, tarehe 24 Januari 2019 katika ukumbi wa CCM uliopo wilayani Handeni kuanzia saa 4:00 asubuhi. Lengo la mkutano huo ni kwa ajili ya kupata maoni ya wadau na wananchi wote kwa ujumla kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.

Soma Zaidi:- Mwito wa Maoni ya Wadau – HTM WSSA

A Call for Stakeholders’ Views – HTM WSSA

__________________________________________________________________________________________

 

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *