Tamko la EWURA baada ya kusikia Watu wanabambikiwa Bill za maji (bei feki)

Hits: 1242

4 thoughts on “Tamko la EWURA baada ya kusikia Watu wanabambikiwa Bill za maji (bei feki)

  1. Ndugu Iddngao,
   Tafadhali fanya maombi kwa njia ya mtandao kupitia kiunganishi https://lois.ewura.go.tz/ewura/ katika tovuti yetu. Unapaswa kuwa na cheti cha ufundi, kitambulisho (kura, leseni ya udereva,nida), wasifu (CV) na picha yenye kivuli cha bluu katika nakala laini (soft) kabla ya kufanya maombi ili uweze kuambatisha nyaraka hizo.
   Endapo utapata changamoto yoyote wasiliana nasi 0800110030 BURE siku na muda wa kazi.
   Karibu

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *