Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Jumatano, tarehe 19 Juni, 2019, katika mji wa Bagamoyo na katika mji wa Kibaha na Alhamisi tarehe 20 Juni 2019 katika jiji la Dar es salaam. Mikutano yote hii itafanyika kuanzia saa 4:00 asubuhi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la watumia Huduma zinazodhibitiwa na EWURA na wananchi wote kwa ujumla, kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa. Soma Zaidi:-
Mwito wa Maoni ya Wadau- DAWASA
A Call for Stakeholders Views- DAWASA
Hits: 87