Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei ya Huduma za Maji Kutoka MUGUMU WSSA Kwa Mwaka 2019/20 – 2021/22

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Ijumaa, tarehe 28 Juni 2019, katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Serengeti, Mjini Mugumu kuanzia saa 4:00 asubuhi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la watumia huduma zinazodhibitiwa na EWURA na wananchi wote kwa ujumla, kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa.

Soma Zaidi:-

Mwito wa Maoni ya Wadau- Mugumu WSSA

A Call for Stakeholders Views- Mugumu WSSA

 

Hits: 68

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *