Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei ya Huduma za Maji Kutoka Nansio WSSA Kwa Mwaka 2019/20 – 2021/22

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Jumatano, tarehe 26 Juni 2019, katika Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya Ukerewe kuanzia saa 4:00 asubuhi kwa ajili ya kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la watumia huduma zinazodhibitiwa na EWURA na wananchi wote kwa ujumla, kuhusu uhalali wa bei zinazopendekezwa. Soma Zaidi:-

Mwito wa Maoni ya Wadau- Nansio WSSA

A Call for Stakehplders Views-Nansio WSSA

 

Visits: 137

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *