Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 3 Julai 2019. Soma Zaidi:-
Bei Kikomo za Bidhaa za Mafuta ya Petroli Kuanzia 03 Julai 2019
Cap Prices For Petroleum Products with effective 03 July 2019
Hits: 2076
wohh exactly what I was searching for, thankyou for putting up.
Dear Madie,
You are welcome and thank you for feedback.