TAARIFA KWA UMMA- Maombi ya Kubadili Umiliki wa Leseni na Majina ya Vituo vya Mafuta

Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya mabadiliko ya umiliki na majina ya leseni tajwa , afanye hivyo kwa maandishi na kuwasilisha EWURA  ndani ya siku kumi na nne toka tarehe ya tangazo hili. Soma Zaidi:-

Maombi ya Kubadili Umiliki wa Leseni- Kituo cha Mafuta Kapara

Application for Change of Licence from Kapara Petrol Station

Hits: 83

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *