TANGAZO MUHIMU – MATENGENEZO YA MFUMO WA LOIS

MATENGENEZO YA MFUMO WA LOIS

EWURA inautangazia umma kuwa itafanya matengezo katika mfumo wa LOIS yaani ‘License and Order Information System’ kuanzia  tarehe 20 Julai 2019 saa 6 usiku mpaka tarehe 21 Julai 2019  saa 12:00 jioni ili kuweza kutoa huduma bora zaidi.

Hivyo basi,EWURA inawajulisha watumiaji wote wa LOIS wakiwemo waombaji leseni na vibali mbalimbali kuwa mfumo huo hautapatikana kipindi chote cha matengenezo.

EWURA inaomba radhi kwa usumbufu  utakaojitokeza.

Kwa msaada zaidi piga namba ya bure 0800110030 au tuma barua pepe: support@ewura.go.tz

Bofya haha kuendelea…

——————————

LOIS MAINTENANCE

EWURA is  notifying all  licence applicants users and the general public that  it will undergo major maintenance of the  License and Order Information System (LOIS)  from 20 July 2019 at 00:00 am to 21 July 2019 06:00 pm. in order to improve service.

Therefore,  LOIS will be out of service  during the period under maintenance. We apologise for  inconveniences.

For any assistance, please call toll free 0800110030 or email us: support@ewura.go.tz

Click to Continue…

Hits: 126

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *