TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea maombi ya kubadili umiliki wa leseni na majina ya vituo vya mafuta vya Raifu Company Ltd na Elita Company Ltd.
Soma zaidi:-Maombi ya Kubadili Umiliki wa Leseni na Majina ya Vituo vya Mafuta
Views: 247