Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 1 Januari 2020.
Soma zaidi : Cap Prices wef 01 January 2020 – Kiswahili
Cap Prices wef 01 January 2020 – English
Hits: 3403