The Authority wishes to inform the petroleum industry operators, suppliers, service providers and the general public that it has updated the LSSP for the month of December 2019 with 449 local business entities. The approved suppliers and service providers are eligible to participate in the execution of works and provision of various goods and services in the petroleum midstream and downstream activities in Mainland Tanzania.
Read More: Preamble for LSSP December 2019
Hits: 554
Nawezaje kujua madaraja ya leseni za umeme(Electrical Installation)
Ndugu Hamadi,
Madaraja ya leseni za umeme yanaanzia Wiremen,D,C,B, A
Kwa maelezo zaidi pitia ukurasa wa Umeme katika tovoti yetu, ili uweze kusoma kanuni za ufungaji mifumo ya umeme za mwaka 2019 ambazo zimeanisha vigezo vya kila daraja.
Kwa changamoto yoyote, wasiliana nasi 0800110030 bure.
Asante
Madaraja ya leseni za umeme yameanishwa katika kanuni hii “The Electricity (Electrical Installation Services) Rules, 2019 -GN 382” unayoweza kuisoma katika kiunganishi https://www.ewura.go.tz/electricity-regulatory-tools/.
LICENCE FEE
Type / Class of
Licence
Renewal Annual
Fee (TZS)
Initial licence
fee
Duplicate Licences fees
A, S1 100,000 / – 150,000 30,000
B, S2 80,000 / – 120,000 25,000
C, S3 60,000 / – 100,000 20,000
D 30,000 / – 60,000 15000
W 20,000 / – 40,000 10,000
Application – 10,000
_____________
Naomba kupatiwa form ya maombi ya leseni ya umeme electrical installation