Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, kutakuwa na Mkutano wa Taftishi siku ya Jumatano, tarehe 19 Februari 2020 katika Ukumbi wa Upendo View uliopo Sumbawanga Mjini kuanzia saa 4:00 asubuhi. Lengo la mkutano huo ni kupata maoni ya wadau ikiwa ni pamoja na Baraza la Ushauri la Serikali, Baraza la Ushauri la watumia huduma zinazodhibitiwa na EWURA, wateja wa Mamlaka ya Maji Sumbawanga, na wananchi wote kwa ujumla kuhusu uhalali wa hoja za bei zinazopendekezwa. Soma Zaidi:-
A call for Stakeholders’ Views on the Tarrif Application from Sumbawanga WSSA for Years 2019– 22
Hits: 366