Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 5 Februari 2020.
Bei Kikomo za Mafuta ya Petroli Februari 2020
Cap Prices wef 05 February 2020
Hits: 1624