Employment Opportunities : Information and Communications Technology Officer

The Energy and Water Utilities Regulatory Authority (EWURA) is an independent, world class regulatory authority responsible for licensing, tariff regulation and quality of service regulation of the electricity, water, petroleum and Natural gas sectors.  EWURA has the following vacancies for which suitably qualified Tanzanian citizens are invited to apply.

Read More:- ICT Officer

Hits: 2360

12 thoughts on “Employment Opportunities : Information and Communications Technology Officer

  1. Ndugu Mboya,
   Taarifa hutumwa kwa waliofaulu vigezo. Endapo umekidhi utataarifiwa kwa utaratibu husika.
   Karibu

  1. Ndugu Ephraim,
   Vigezo na masharti huzingatiwa katika kuwajulisha waliofaulu kuhudhuria usaili. Tafadhali rejea maelezo yaliyoanishwa katika tangazo.
   Asante

 1. Habari
  kuhusu hii nafasi ya – ICT Officer nnaweza kupata mrejesho kwamba tayari interview zimefanyika au tuendelee kusubiri interview maana ni muda since tulivyotuma application.

  1. Ndugu Ismail,
   Wote walioomba nafasi hiyo hupewa taarifa kupitia njia zilizoanishwa katika tangazo la kazi.
   Karibu.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *