TAARIFA KWA UMMA: EWURA Yatoa Ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira Nchini kwa Mwaka 2018/19

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetoa Ripoti ya Utendaji wa Mamlaka…