EWURA imepokea maombi ya leseni ya kuzalisha umeme kutoka kwa Kampuni ya Madope.Mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi kuhusiana na maombi haya awasilishe maoni au pingamizi lake kwa maandishi ndani ya siku ishirini na moja (21) tangu siku ya kutolewa kwa tangazo hili. Soma Zaidi:-
Maombi ya Leseni ya Kuzalisha umeme-Madope Hydro Company Ltd
Electricity Generation Licence Application- Madope Hydro Company Ltd
Views: 295