TAARIFA KWA UMMA : Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura Namba 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, wafuatao wameomba leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli.

Soma zaidi :- Maombi ya Leseni

Hits: 398

6 thoughts on “TAARIFA KWA UMMA : Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

    1. Maombi hufanyika kupitia mfumo wa kieletroniki unaitwa LOIS.Tafadhali ingia katika website yetu na kubofya LOIS, kujisajili na kuendelea kufanya maombi. Unaweza pia kutumia kiunganishi hiki—https://lois.ewura.go.tz/ewura/

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *