EWURA Yatangaza Bei Mpya za Mafuta kuanzia Jumatano Agosti 5, 2020

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inatangaza bei kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli hapa nchini, bei ambazo zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 5 Agosti 2020.

Soma Zaidi:-https://www.ewura.go.tz/fuel-prices/

Hits: 4619

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *