EWURA Yafuta Leseni Uendeshaji Biashara ya Mafuta kwa Jumla

EWURA yafikia maamuzi ya kufuta leseni za uendeshaji biashara ya mafuta ya petroli kwa jumla baada ya kujiridhisha kuwamakampuni husika yameshindwa kufanya biashara ya mafuta kwa jumla kwa mujibu wa kifungu cha 143(1) (a) cha Sheria ya Mafuta, Sura ya 392 na kanuni ya 16(3) ya Kanuni za Petroleum (Wholesale, Storage, Retail and Consumer Installation Operations) Rules, Toleo la Gazeti la Serikali Na. 380 la 2018.

Soma Zaidi:-

Hits: 177

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *