Mwito wa Maoni Kuhusu Maombi ya Leseni ya Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli.

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura ya 414 ya Sheria za Tanzania, taarifa inatolewa kwa umma kwamba, wafuatao wameomba leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli.

Soma Zaidi:-Maombi ya Leseni biashara ya Mafuta

Visits: 114

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *