TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea ombi la kubadili umiliki wa leseni na jina la kituo cha mafuta, Dennis Shoo Trust Filling Station, hivyo basi, mtu yeyote mwenye maoni au pingamizi dhidi ya mabadiliko ya umiliki na majina ya leseni tajwa hapo juu, afanye hivyo kwa maandishi na kuwasilisha EWURA ndani ya siku kumi na nne toka tarehe ya tangazo hili.
Soma zaidi : Kubadili umiliki wa leseni – Swahili
Hits: 137