Mwito wa Kutoa Maoni kwa Waombaji wa Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Taarifa inatolewa kwa umma kwa waombaji wa leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli. Mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa muombaji yeyote wa leseni kwamba asipewe leseni, anatakiwa kuwasilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili kupitia anwani tajwa.

Soma zaidi:- Mwito wa kutoa maoni

Visits: 80

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *