Mwito wa Kutoa Maoni : Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Taarifa inatolewa kwa umma kwamba, EWURA imepokea maombi ya leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli, Mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni aliyetajwa katika kiambatanisho, kwamba asipewe leseni, anatakiwa kuwasilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili.

Soma zaidi :- Mwito wa kutoa maoni.

Hits: 97

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *