Taarifa inatolewa kwa umma kwamba, EWURA imepokea maombi leseni kujihusisha na mkondo wa chini wa sekta ya mafuta ya petroli. Mtu yeyote au kikundi cha watu wenye pingamizi kwa mwombaji yeyote wa leseni aliyetajwa katika kiambatanisho chini, kwamba asipewe leseni, anatakiwa kuwasilisha pingamizi hilo kwa EWURA ndani ya siku kumi na nne (14) kuanzia tarehe ya tangazo hili kupitia anwani tajwa katika taarifa hii.
Soma zaidi :- Maombi ya Leseni
Hits: 270