EWURA updates the LSSP for the month of April 2020 with 465 local business entities

Read More:- https://www.ewura.go.tz/local-content-lssp-database/ Hits: 225

TAARIFA KWA UMMA: EWURA Yaonya Uuzaji wa Mafuta ya Petroli Kiholela

Katika siku za hivi karibuni,  kumekuwapo na ushamiri wa  uuzwaji mafuta hasa ya Petroli na  Dizeli…

TAARIFA KWA UMMA: EWURA Yatoa Ufafanuzi kuhusu Kushuka Bei za Mafuta

Katika siku za hivi karibuni, kumekuwepo na taarifa katika mitandao ya kijamii kuhusu kushuka kwa bei…

TAARIFA KWA UMMA: Uvaaji Barakoa

Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), inapenda kuwataarifu  wadau wake wote na…

TAARIFA KWA UMMA: EWURA Yatoa Ripoti ya Utendaji wa Mamlaka za Maji na Usafi wa Mazingira Nchini kwa Mwaka 2018/19

MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetoa Ripoti ya Utendaji wa Mamlaka…

TANGAZO: Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji kutoka Igunga WSSA kwa Mwaka 2020/21 – 2022/23

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, EWURA inakaribisha maoni ya…

TANGAZO: Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Maombi ya Marekebisho ya Bei za Maji kutoka Nzega WSSA kwa Mwaka 2020/21 – 2022/23

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, EWURA inakaribisha maoni ya…

TANGAZO: Mwito wa Maoni ya Wadau Kuhusu Marekebisho ya Bei za Maji kutoka Tabora WSSA kwa mwaka 2019/20-2022/23

Kwa mujibu wa kifungu Na. 19 (2) (b) cha Sheria Na. 414, EWURA inakaribisha maoni ya…

TAARIFA KWA UMMA : Maombi ya Leseni Kujihusisha na Mkondo wa Chini wa Sekta ya Mafuta ya Petroli

Kutokana na kifungu cha 19(4) cha Sheria ya EWURA, Sura Namba 414 ya Sheria za Tanzania,…

TAARIFA KWA UMMA: Maombi ya Kubadili Umiliki wa Leseni na Jina la Kituo cha Mafuta Muro Investment Co Ltd

TAARIFA inatolewa kwa umma kwamba Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imepokea…