EWURA imefuta bei zote za maji za Mamlaka zote za Maji nchini zilizotakiwa kutumika kuanzia Januari 2021 na bei za mwaka 2019/20 zitaendelea kutumika hadi hapo itakavyoelekezwa vinginevyo. Soma Zaidi:-Taarifa kwa Vyombo vya Habari-Kufutwa Bei za Maji za 2021
Hits: 549
Bei za Maji zimekuwa zikitofautiana kutoka mkoa mmoja hadi mwingine , kwa case ya mkoa wa mbeya kwa mjibu wa bei ya ewura ni Tsh 1100 per unit kwa matumizi ya nyumban. Mbona tumekuwa tukitozwa Tshs 1275 per unit baada ya makato mengine . Eg unit 160 kwa Tsh 204000. Hyo imekaaje inatuumiza saaana wananchi.
UFAFANUZI
Bei zilizoidhinishwa kwa Mamlaka ya Maji safi na Usafi wa Mazingira Mbeya kwa matumizi ya Majumbani ni kama inavyooneshwa kwenye Jedwali hapa chini
Kundi la Watej a
Matu mizi ya Sasa
Matumiz i yaliyope
ndekezw a
Bei za Sasa
Bei Zilizopendekezwa Matumizi yaliyoidhinishwa
Bei
Zilizoidhinishwa
2017
/18
2018
/19
2019
/20
2020/21 2018/19 2019/20 2020/21
Maju mbani
0-5
0-10
670 1,150 1,300
1,450
0-10 1,000 1,100 1,100
5–15
>10–20
720 1,260 1,350
1,500 >10–20 1,100 1,100 1,200
>15
>20
820 1,450 1,450
1,600
>20 1,300 1,300 1,300
Bei zimeidhinishwa kwa kila kiwango cha matumizi, kwa matumizi ya unit 0 hadi 10 na 10 hadi 20 bei ni Sh. 1,100 kwa unit moja ila Zaidi ya Unit 20 bei ni Sh. 1,300.
Hivyo kwa Matumizi ya Unit 160, mchanganuo wake ni kama ifuatavyo;
Unit Bei Kiasi (Sh.)
20 1,100 22,000
140 1,300 182,000
Jumla 160 204,000
Hivyo Bei iliyotozwa na Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Mbeya kwa Mteja ni Sahihi
NAOMBA KUJULISHWA BEI YA MAJI ILIYOPANGWA NA SERIKALI KWA DSM KWA MATUMIZI YA MAJI YA MAJUMBANI NI SH. NGAPI KWA UNIT MOJA?
Ndugu Anna,
Ni shilingi 1,663 kwa mujibu wa Tangazo la Bei la Mwaka 2018.
Asante