TANGAZO : Wito wa Kuitwa Shaurini

Wito wa kuitwa shaurini  mbele ya Divisheni ya Utatuzi wa Migogoro ya Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji kwa Bw. Valence S. Matunda wa S.L.P 80096 Dar es Salaam na Meneja wa Tanesco Kanda ya Dar es Salaam na Pwani S.L.P 2323 Dar es Salaam, kama ilivyochapishwa na gazeti la Mwananchi Jumanne, Tarehe 23 Februari 2021.

Soma zaidi;- Tangazo la Wito wa Kuitwa Shaurini

Hits: 220

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *